Hawa hapa Zalan Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
9 Aug 2022
Hawa hapa Zalan Fc

Chama cha Soka Sudan Kusini kimeahidi dola za Kimarekani 25,000 ili kuwasaidia mabingwa wa Sudan Kusini Zalan Fc  wajiandae na mechi ya ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga ambayo itapigwa mwezi ujao huko Sudan Kusini na jijini Dar es salaam

Zalan Fc hutumia usafiri wa pick-up wanapokwenda kucheza ugenini kutokana na ukosefu wa fedha

Kwa hakika kama Wananchi watashindwa kutoboa hapa, basi hakuna sababu ya kwenda kushiriki Kimataifa

Kosa ambalo kocha Nasreddine Nabi na vijana wake hawapaswi kufanya ni kuwadharau wapinzani wao

Yanga inapaswa kujipanga ili kuhakikisha inakwenda kumaliza mchezo hukohuko Sudan Kusini na kuja kukamilisha hesabu jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →