Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kocha mkuu wa Yanga Mohammed Nasreddine Nabi
Ni msimu wake wa pili katika kikosi cha Yanga, ameirejesha heshima ya Wananchi kwa kushinda mataji yote ya ndani katika msimu uliopita
Msimu huu ana kazi kubwa ya kutetea mataji yote lakini pia kufanya vizuri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY NABI..!
ADVERTISE HERE