Droo ligi ya mabingwa, Shirikisho ni leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2022
Droo ligi ya mabingwa, Shirikisho ni leo

Droo ya hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na kombe la Shirikisho inafanyika leo huko Cairo

Droo hiyo itafanyika kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Tanzania

Mabingwa wa Tanzania, Yanga na watani zao Simba waliomaliza katika nafasi ya pili ligi kuu msimu uliopita, wataanzia hatua ya awali

Azam Fc waliomaliza nafasi ya tatu wataanzia raundi ya kwanza kombe la Shirikisho wakati Geita Gold waliomaliza katika nafasi ya nne, nao wataanzia hatua ya awali

Timu ambazo hazitaanzia hatua ya awali kwenye ligi ya mabingwa;

β€’ Wydad AC

β€’ Raja CA

β€’ Mamelodi Sundowns

β€’ ES Tunis

β€’ TP Mazembe

β€’ Al Ahly

Timu ambazo hazitaanzia hatua ya awali kombe la Shirikisho;

β€’ USMA

β€’ JS Saoura

β€’ GD Sagrada

β€’ CS Noirs

β€’ DCM Pembe

β€’ Pyramids

β€’ Hearts of Oak

β€’ RS Berkane

β€’ Marumo Gallants

β€’ Azam Fc

β€’ CS Sfaxien

β€’ Club Africain

β€’ Zesco

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’