Mwana Jangwani toleo jipya liko Play Store

Admin By Admin
β€’
16 Jul 2018
Mwana Jangwani toleo jipya liko Play Store
Toleo namba 1.3.5 la Mwana Jangwani limewekwa Google Play Store, ni muhimu ku Update kwenda toleo hilo jipya.

Ku Update ni rahisi, fungua ukurasa wa pembeni wa App yako (SIDEBAR MENU) halafu bonyeza Update. Kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa Mwana Jangwani App, Google Play Store. Utabonyeza tena Update.

Kama hutaona kitufe cha Ku Update Play Store, usiwe na wasiwasi jaribu tena baadae kwani toleo hilo linasambazwa kwa awamu.

Toleo jipya limesahihisha matatizo madogo madogo pia kuongeza mambo mengine mazuri.

Baadhi ya matoleo ya zamani hayataweza kupokea taarifa mpya hivyo ni muhimu ku update ili kuendelea kupata taarifa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’