Kwa huyu Mayele tabu iko palepale

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2022
Kwa huyu Mayele tabu iko palepale

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amerejea na moto wa aina yake kuelekea msimu wa 2022/23, anafanya mabalaa makubwa kwenye michezo ya pre-season

Yanga imecheza mechi tatu za pre-season, Mayele ameweka kambani mabao matano

Alifunga mabao matatu 'hat-trik' katika mchezo dhidi ya Transit Camp, mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-1

Mayele akaweka tena kambani bao moja katika mchezo mwingine dhidi ya Friends Rangars ambao Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 9-0

Jana Mayele akafunga tena kwenye mchezo dhidi ya Namungo Fc, Wananchi wakiondoka na ushindi wa mabao 2-0

Yanga imefunga mabao 16 katika michezo mitatu, wameruhusu bao moja tu kutikisa nyavu zao

Mayele amesema moto ni uleule, ni mwendo wa kutetema..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’