Mosimane kutua Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2022
Mosimane kutua Ijumaa

Kocha wa zamani wa timu za Mamelodi Sundowns, Al Ahly na timu ya Taifa ya Afrika Kusini Pitso Mosemane, anatarajiwa kutua nchini siku ya Ijumaa kuhudhuria kilele cha wiki ya Mwananchi

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alimualika Mosimane kushuhudia tukio hilo kubwa kabisa la michezo hapa Tanzania

Mosimane alivutiwa na 'parade' ambayo walifanya Yanga baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu, imekuwa rahisi kwake kukubali mwaliko kushuhudia wiki ya Mwananchi

"Ijumaa tutampokea mtu mashuhuri na maarufu sana katika soka la Afrika. Ulikuwa mwaliko wangu binafsi, tuna furaha ameridhia kuwa nasi katika siku hii ya furaha kwetu,"alisema Hersi

Yanga itapokea wageni wengi kutoka mataifa mbalimbali ambao wameomba kuja kushuhudia, na wengine kujifunza vile Wananchi wanafanya jambo lao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’