Timu ya St Louis kutoka Shelisheli tayari imewasili nchini kukabiliana na mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga kwenye mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika.
St Louis iko nchini Tangu Jumanne usiku, wanatumia uwanja wa Karume kujifua.
Mchezo huo wa awali utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi, Februari 10, 2018.
Mchezo wa marudiano utapigwa baada ya wiki moja huko Shelisheli.

ADVERTISE HERE