Nafasi nyingine kwa Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2022
Nafasi nyingine kwa Makambo

Wakati akirejeshwa kwenye kikosi cha Yanga msimu uliopita, mashabiki walikuwa na matumaini makubwa kwa mshambuliaji Heritier Makambo

Hata hivyo ni kama mambo hayakwenda vizuri kwa upande wake. Alianza mchezo wa wiki ya Mwananchi na ligi ya mabingwa akiwa mshambuliaji namba moja lakini baada ya msimu kuanza, nafasi yake ikachukuliwa na Fiston Mayele

Katika msimu uliopita Makambo alifunga mabao sita. Alikuwa kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga kwenye michuano ya kombe la FA akipachika mabao manne na kwenye ligi alifunga mabao mawili tu

Katika msimu ujao, atakuwa na nafasi nyingine kurejesha imani ya mashabiki wa Yanga ambao wanamkubali sana

Makambo alijitengenezea ufalme katika msimu wa 2018/19, akifunga mabao 22 katika mashindano yote

Sasa atakabiliana na ushinda sio kutoka kwa Mayele tu, pia kuna Lazarus Kambole ambaye amesajiliwa katika dirisha hili akitokea klabu ya Kaizer Chiefs

Kama washambuliaji wote watakuwa katika ubora wao, kwa hakika nyavu za timu pinzani zitachakaa!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’