SportPesa wameongeza 'mzigo' Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2022
SportPesa wameongeza 'mzigo' Yanga

Klabu ya Yanga imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya Sportpesa, mkataba ukiwa wa miaka mitano

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema wamesaini mkataba mnono zaidi ya ule wa awali ambao ulimalizika mwezi May 2022

"Ni kweli tunaendelea na udhamini wa SportPesa, wameongeza mzigo, taarifa rasmi itatolewa na pande zote mbili (Sportpesa na Yanga) "

"Tumepata mkataba mnono kuliko klabu yoyote, ni mkataba halisi, kwani sisi hatuna tabia ya kuongeza sifuri mbele kama wale wengine, "Manara alitamba

Katika mkataba uliopita, Yanga ilikuwa ikivuna takribani Tsh Bilioni 1 kwa msimu

Hivi karibuni Simba walimtangaza mdhamini wao nmpya kampuni ya M-Bet wakiachana na Sportpesa baada ya mkataba kumalizika

Mwaka 2017, Yanga na Simba zilisaini mikataba ya miaka mitano kudhaminiwa na SportPesa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’