SportPesa, Yanga kusaini mkataba mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2022
SportPesa, Yanga kusaini mkataba mpya

Baada ya miaka mitano ya Udhamini wa Sportpesa, klabu ya Yanga inatarajiwa kusaini mkataba mwingine wa miaka mitano kuendelea na udhamini wa kampuni hiyo

Mapema leo klabu ya Simba ambayo pia ilikuwa ikidhaminiwa na Sportpesa, ilitangaza kusaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kuwa wadhamini wakuu wa klabu hiyo

Mkurugenzi wa Utawala SportPesa Abbas Tarimba, amesema Mkataba ambao watasaini na Yanga utaweka rekodi kwani hakuna klabu yoyote hapa Tanzania iliyowahi kupata mkataba wa aina hiyo

"Ni kweli mkataba tuliosaini awali umemalizika, Hivi karibuni tutaingia mkataba mwingine mkubwa zaidi na wa kihistoria na klabu ya Yanga SC, ambao haujawahi kuingiwa na klabu yoyote," alisema Tarimba

Katika mkataba uliopita, Yanga ilikuwa ikipokea takribani Tsh Bilioni 1 kila mwaka kutoka SportPesa

Ni wazi katika mkataba huo mpya dau litaongezeka nnmara dufu...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’