Wakati fulani nilikuwa hapa, nikaondoka na sasa ninarudi tena. Naamini awamu hii itakuwa bora zaidi
Nilipendwa na taifa hili la manjano na kijani na bado linanipenda. Najua niliwasababishia maumivu na aibu wakati flani lakini najua bado mnanikubali mtoto wenu, nimerudi nyumbani
Kwani sote tunaujua huu msemo, 'Nyumbani ni kutamu' . Kijana wenu nimerudi na nitafanya niwezavyo kuwapa furaha kila mahali na wakati wowote.
Wacha tufanye kazi pamoja na kuiweka KLABU hii BINGWA kwenye ramani ya Kimataifa kama mlivyofanya toka zamani
ADVERTISE HERE