Wajumbe kumuidhinisha Injinia Hersi Said

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2022
Wajumbe kumuidhinisha Injinia Hersi Said

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Yanga Malangwe Mchungahela amesema kwa kuwa kuna mgombea mmoja wa nafasi ya Urais, hatapigiwa kura kama ilivyo kwa wagombea wengine

Wajumbe wa Mkutano Mkuu watamuidhinisha Injinia Hersi Said kuwa Rais wa klabu ya Yanga kwa kura ya NDIO au HAPANA

Mwenyekiti atawauliza Wajumbe kama wamemkubali Hersi kuwa Rais wa Yanga au La

Nafasi zitakazopigiwa kura ni Makamu wa Rais na nafasi tano za Wajumbe wa Sekretarieti

Wagombea wanaendelea kunadi sera zao kabla ya kupigiwa kura na Wajumbe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’