Usiku wa kuamkia leo zilitolewa tuzo za TFF ambapo ulikuwa usiku mzuri kwa Yanga iliyoondoka na tuzo nyingi
Profesa Nasreddine Nabi aliibuka kuwa Kocha Bora wa Msimu wakati tuzo ya mchezaji bora wa msimu ikienda kwa Yannick Bangala
Bangala pia alishinda tuzo ya kiungo bora huku mlinda lango Djigui Diarra akiibuka kuwa mlinda lango bora
Diarra pia aliondoka na tuzo ya Fair Player michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Fiston Mayele yeye akaondoka na tuzo ya goli bora la msimu alilofunga katika mchezo dhidi ya Biashara United
Yanga ilikabidhiwa cheki za ubingwa wa ligi kuu na michuano ya kombe la Shirikisho la AzamΒ



ADVERTISE HERE