Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Sports Club,Clement Sanga Jumamosi, Julai 15 atakuwa na mkutano na Wachezaji wote wa Zamani wa Yanga SC bila kujali mwaka aliocheza, makao makuu ya klabu Jangwani, Dar es Salaam kuanzia Saa 6:00 mchana.
Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
13/07/2017
Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
13/07/2017
ADVERTISE HERE