Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Coastal Union
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha









ADVERTISE HERE