Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wamepost shamrashamra za ubingwa wa Yanga zilizofanyika jijini Dar es salaam hapo jana
Yanga ilisimamisha jiji la Dar es salaam lakini pia hata Afrika imetikisika kwa shamrashamra hizo!
ADVERTISE HERE