Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Mbeya kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City. Mchezo huo ambao utaambatana na shamrashamra za ubingwa, utapigwa Jumamosi, Juni 25 katika uwanja wa Sokoine

ADVERTISE HERE