Leo tunatambulisha mmoja - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2022
Leo tunatambulisha mmoja - Manara

Klabu ya Yanga leo inatarajiwa kutambulisha mchezaji mmoja wa kigeni ambaye usajili wake tayari umekamilika

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema kabla ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa mbili na nusu usiku, watatambulisha mchezaji mmoja

"Mimi ndo msemaji rasmi wa Yanga, nasema hivi leo saa 12:30 jioni kupitia mitandao yetu tutamtambulisha mchezaji wetu mpya wa Kimataifa," alitamba Manara

Katika hatua nyingine Manara amesema Yanga tayari imekamilisha usajili wa nyota wa kigeni kilichobaki ni kutambulishwa tu

Baadhi ya wachezaji hawawezi kuwatambulisha sasa kwa sababu bado mikataba yao haijamalizika katika timu wanazozitumikia

Manara ameweka msisitizo kuwa usiku wa Juni 28 2022 watakata mzizi wa fitina kuhusu usajili wa Stephan Aziz Ki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’