Viingilio mchezo dhidi ya Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2022
Viingilio mchezo dhidi ya Coastal Union

Wananchiiii, kesho ndio ile siku mliyokuwa mkiisubiri kwa hamu..! Yanga inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ambao alama tatu kwa Yanga zitawahakikishia ubingwa

Huu ni mchezo muhimu sana kwa Yanga kwani huenda baada ya dakika 90 shamra shamra za ubingwa wa 28 zikaanza pale pale dimba la Mkapa

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Mchezo utapigwa kuanzia saa mbili na nusu usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’