Ushindi wa mabao 2-0 uliyopata Yanga dhidi ya Lipuli uliiwezesha kupanda nafasi ya pili kwa muda kabla ya mchezo wa Azam FC dhidi ya Ndanda.
Hata hivyo Azam FC imeshinda kwa mabao 3-1 na hivyo kurejea nafasi ya pili baada ya kufikisha alama 33, alama mbili zaidi ya Yanga yenye alama 31.
Simba inayoshuka dimbani kesho Jumapili kukabiliana na Ruvu Shooting bado iko kileleni ikiwa na alama 35.
Yanga inatarajiwa kushuka tena dimbani Februari 06 kuikabili Njombe Mji wakati Simba itamenyana na Azam FC Februari 07.
Matokeo ya mchezo huo huenda yakainufaisha Yanga iwapo itaibuka na ushindi dhidi ya Njombe Mji.

ADVERTISE HERE