Kiungo mshambuliaji wa Yanga Farid Mussa leo ameongeza mkataba na mabingwa hao watarajiwa wa ligi kuu ya NBC
Farid amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia Wananchi
Aidha mapema leo, katika Mkutano na Wanahabri, Farid alimtambulisha Mwanahabari na Mchambuzi wa soka Oscar Oscar kuwa Meneja wake
Awali Jemedari Said ndiye aliyekuwa akimsimamia farid
ADVERTISE HERE