Pamoja na kutangaza zawadi ambazo watapata washindi, Bodi ya Ligi imetambulisha kombe ambalo bingwa wa ligi kuu ya NBC atakabidhiwa msimu huu
Hii ina maana bingwa wa msimu huu ataandika historia kwa kuwa klabu ya kwanza kushinda kombe hilo 'brand new'!
ADVERTISE HERE