Bingwa Ligi Kuu kuondoka na Milioni 600

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2022
Bingwa Ligi Kuu kuondoka na Milioni 600

Bodi ya Ligi Kuu imetangaza zawadi za Ligi Kuu ya NBC inayofikia tamati mwishoni mwa mwezi

Mtendaji wa Bodi Almas Kasongo, amesema bingwa wa ligi atapata Tsh Milioni 600

Mdhamini Mkuu wa Ligi, Benki ya NBC itatoa Tsh Milioni 100 wakati Azam Media watatoa bonasi ya Tsh Milioni 500

Mshindi wa pili ataondoka na kitita cha Tsh Milioni 300 (Mil 250 bonasi Azam Media na Milioni 50 kutoka kwa wadhamini NBC Bank)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’