Hapa vipi Wananchi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2022
Hapa vipi Wananchi?

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati za Mashindano Yanga Injinia Hersi Said, Mkurugenzi wa Shirika la Bima Zanzibar Arafat Haji ambaye amewahi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Yanga, wamejitosa katika kinyan'ganyiro cha kuwania nafasi za uongozi katika klabu ya Yanga

Injinia Hersi anatajwa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Rais wakati Arafat anawania nafasi ya Makamu wa Rais

Zoezi la kurejesha fomu litafungwa leo majira ya saa 10:30 jioni

Tusubiri...! 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
57m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’