Yanga kuanza mawindo ya Coastal Union leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2022
Yanga kuanza mawindo ya Coastal Union leo

Baada ya mapumziko ya siku nne, Yanga inatarajiwa kurejea mazoezini leo kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Wachezaji ambao hawana majukumu kwenye timu za Taifa watajifua chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi

Yanga inahitaji alama tatu tu ili kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Ushindi katika mchezo dhidi ya Coastal Union ni matokeo ambayo yatatosha kuihakikishia Yanga ubingwa huo

Yanga ni kama itacheza mechi mbili za fainali na Coastal Union kwani mchezo wa ligi kuu Juni 15 utakuwa kama fainali

Julai 02 Yanga itaumana tena na Coastal Union kwenye mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’