Diarra kumaliza ufalme wa Manula Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jun 2022
Diarra kumaliza ufalme wa Manula Ligi Kuu

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra anaongoza kwa kucheza mechi nyingi pasipo kuruhusu bao 'cleansheet'

Diarra hakuruhusu bao katika michezo 15 huku mlinda lango wa Simba Aishi Manula akiwa hajaruhusu bao katika michezo 11

Diarra yuko katika nafasi nzuri ya kuibuka kuwa mlinda lango bora msimu huu akimaliza utawala wa Manula ambaye ameshinda tuzo hiyo kwa misimu mitano mfululizo

Yanga ilifanya 'scouting' ya maana hadi kumnasa Diarra baada ya kukabiliwa na changamoto katika walinda lango kwa misimu kadhaa

Diarra amekuwa na mchango mkubwa katika mafanikio ya Yanga msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’