Wachezaji 10 Yanga katika majukumu ya timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jun 2022
Wachezaji 10 Yanga katika majukumu ya timu za Taifa

Wachezaji wa Kimataifa Djigui Diarra, Khalid Aucho na Djuma Shabani wamesafiri kwenda kujiunga na timu zao za Taifa

Diarra amejumuishwa timu ya Taifa ya Mali, Aucho (Uganda) na Djuma (DR Congo) kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023

Wachezaji 10 wa Yanga watakuwa katika majukumu ya timu za Taifa katika kipindi hiki cha mapumziko michuano ya Kimataifa

Nyota wengine saba wamejumuishwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambayo kesho Alhamisi itasafiri kuelekea Benin kwa ajili ya mchezo dhidi ya Niger ambao utapigwa Juni 04

Wachezaji hao ni Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari, Farid Mussa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum na Salum Abubakar 'Sure Boy'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’