Yanga yarejea Dar, walioitwa Stars wadakwa JNIA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 May 2022
Yanga yarejea Dar, walioitwa Stars wadakwa JNIA

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, kikosi cha Yanga kimetua jijini Dar es Salaam na kupewa ruhusa ya mapumziko ya siku nne huku wachezaji nane wa timu ya taifa 'Taifa Stars' wakitinga moja kwa moja kambini.

Yanga walitinga hatua ya fainali kombe la Azam Shirikisho kwa kuwafunga watani zao Simba bao 1-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza likifungwa na Feisal Salum.

Timu ikiambatana na benchi la ufundi na viongozi waliwasiri uwanja wa ndege saa 3:30 asubuhi

 Baada ya kutua basi dogo la kijivu ikiwa na viongozi wa TFF waliwataka mastaa wote walioitwa timu ya Taifa kupanda ndani ya gari hiyo tayari kwa ajili ya kambi kujiandaa na mechi mbili za kufuzu AFCON 2023.

Wachezaji wakiongozwa na nahodha wao Bakari Mwamnyeto walijaribu kuomba ruhusa ili kuziona familia zao waligomewa na kuamuliwa wapande ndani ya gari hiyo.

Wachezaji walioitwa na kwenda kambini ni Mwamnyeto, Fei Toto, Abubakar Salum 'Sure Boy', Aboutwalib Mshery, Dickson Job, Kibwana Shomari, Farid Mussa na Zawadi Mauya

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’