Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli
Bumbuli ndiye 'boss' ya Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika klabu ya Yanga, akishirikiana vyema na Msemaji/Mhamasishaji Haji Manara
Wawili hao wameitangaza vyema Yanga msimu huu na kurejesha morali ya mashabiki ambayo pia imechagizwa na matokeo mazuri ambayo Yanga inapata msimu huu
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY BUMBULI..!
ADVERTISE HERE