Yanga kuweka kambi Shinyanga kuiwinda Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2022
Yanga kuweka kambi Shinyanga kuiwinda Simba

Baada ya mchezo dhidi ya Biashara United, kikosi cha Yanga kinaelekea mkoani Shinyanga kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, May 28 katika uwanja wa CCM Kirumba 

Baada ya kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu, Yanga inaelekeza nguvu zake kwenye mchezo dhidi ya Simba kuhakikisha wanatinga fainali

Wananchi wamepania 'kusepa' na mataji yote wakiwa tayari wametwaa Ngao ya Jamii, ubingwa wa ligi kuu ni suala la muda na sasa hesabu ziko huku kwenye FA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’