Yanga yamshitaki CEO Simba Kamati ya Maadili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2022
Yanga yamshitaki CEO Simba Kamati ya Maadili

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) inakutana kesho Jumamosi May 21 2022 kusikiliza mashauri mawili yaliyowasilishwa mbele yake

Yanga iliwasilisha malalamiko kwa Kamati hiyo mwishoni mwa mwezi April 2022 ikilalamika kuchafuliwa na Mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez ambaye katika mahojiano aliyofanya na redio moja, Afrika Kusini alitoa shutuma zisizo za kweli dhidi ya Yanga

Aidha taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa klabu ya Simba ilipeleka malalamiko kwa Kamati hiyo dhidi ya Msemaji wa Yanga Haji Manara wakimtuhumu kutoa shutuma zisizo za kweli dhidi ya klabu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’