Mechi ya Mbeya Kwanza : Bumbuli awaita mashabiki kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2022
Mechi ya Mbeya Kwanza : Bumbuli awaita mashabiki kwa Mkapa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Ijumaa wakati timu yao itakaposhuka dimbani kuikabili Mbeya Kwanza ukiwa ni mchezo wa 25 ligi kuu ya NBC

Bumbuli amesema kikosi kinaingia kambini leo kwa ajili ya kukamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo ambao wamedhamiria kuondoka na alama zote

"Mchezo wetu dhidi ya Mbeya Kwanza utapigwa Ijumaa, tunawaomba mashabiki wetu waje kwa wingi kuwaunga mkono wachezaji wetu ambao wanaipigania timu kupata matokeo kwenye kila mchezo huu"

"Timu inatarajiwa kuingia kambini leo kukamilisha maandalizi ya mchezo huu. Hatuna mchezaji majeruhi, Yacouba Songne ndiye mchezaji pekee ambaye ataendelea kukosekana katika michezo iliyobaki kukamilisha msimu huu," alisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’