Mchezo dhidi ya Mbeya Kwanza kupigwa May 20

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2022
Mchezo dhidi ya Mbeya Kwanza kupigwa May 20

Mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Mbeya Kwanza ambao awali  ulipangwa kupigwa May 21, sasa utapigwa Ijumaa May 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Aidha mchezo dhidi ya Biashara United nao utapigwa May 23 badala ya May 24 iliyokuwa imepangwa awali

Mchezo dhidi ya Biashara United utapigwa uwanja wa CCM Kirumba

Mabadiliko hayo yamefanyika ili kupisha Ratiba ya mechi za nusu fainali kombe la FA pamoja na kalenda ya CAF mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’