Yanga ina golikipa wa Kimataifa! Djigui Diarra ni mmoja wa walinda lango bora kuwahi kuwashuhudia kwenye ligi kuu ya Tanzania
Leo Diarra ameihakikishia Yanga kuondoka na alama zote tatu mbele ya Dodoma Jiji
Diarra aliokoa mashambulizi matatu ya hatari ambayo kama sio umahiri wake, pengine Dodoma Jiji wangeweza kupata bao
Diarra sio golikipa tu, ni mmoja wa walinzi pale nyuma. Uwezo wake wa kupiga pasi lakini pia 'ku-sweep' pale walinzi wake wanapokuwa mbali
Diarra ni mlinda lango aliyekamilika, ananusa hatari, anaokoa na pia miguu yake iko makini katika kuanzisha mashambulizi
ADVERTISE HERE