Yanga kuifuata Dodoma Jiji leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2022
Yanga kuifuata Dodoma Jiji leo

Kikosi cha Yanga kinaondoka mchana wa leo Ijumaa kuelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa Jumapili, May 15 katika uwanja wa Jamhuri

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema timu itaondoka jijini Dar es salaam baada ya kukamilisha program ya mazoezi ya asubuhi yanayofanyika Avic Town

"Timu itakamilisha mazoezi yake ya mwisho asubuhi hii Avic Town na itaondoka majira ya mchana kuelekea Dodoma. Wachezaji wote wana ari kubwa kuelekea mchezo huo ambao dhamira yetu ni kupata ushindi," alisema Bumbuli

Yanga itawasili mkoani Dodoma majira ya jioni ambapo watakamilisha maandalizi yao ya mwisho katika uwanja wa Jamhuri kesho Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’