Yanga yatoa misaada Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 May 2022
Yanga yatoa misaada Kigoma

Wananchi wako mkoani Kigoma ambapo kesho Jumatano watashuka uwanja wa Lake Tanganyika kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ikiwa sehemu ya utamaduni wake msimu huu, lea katika maadhimisho ya sikukuu ya Eid, Yanga wakishirikiana na GSM Foundation leo wametembelea na kutoa misaada kituo cha watoto yatima, Sanganigwa Kigoma Mjini

Msimu huu Yanga imewafariji wengi kupitia misaada ambayo wanaitoa katika kila mkoani wanapokwenda kucheza mechi ya ligi kuu na kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’