Tarehe, mwezi kama wa leo alizaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza 'Antibiotic'
Saido amekuwa moja ya wachezaji muhimu katika kikosi cha kocha Nasreddine Nabi ambacho kiko mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting Jumatano
Amehusika kwenye mabao 11 yaliyofungwa na Yanga katika mashindano yote msimu huu
Amefunga mabao sita na kutoa pasi nne za mabao katika ligi kuu na pia ana pasi moja ya bao kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY NTIBAZONKIZA
ADVERTISE HERE