FT : Yanga 0-0 Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2022
FT : Yanga 0-0 Simba

Mtanange wa watani wa jadi uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Ulikuwa mchezo wenye ushindani kwelikweli kila timu ikionyesha kuhitaji kupata matokeo

Uhodari wa safu ya ulinzi ya Yanga na hata Simba ulifanya mchezo huo usiwe na nafasi nyingi za wazi

Fiston Mayele alipoteza nafasi adimu katika kipindi cha pili ya shuti lake kutoka nje kidogo ya lango

Denis Nkane aliyeingia kwenye kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Jesus Moloko nae almanusura afunge bao wakati mchezo huo ukielekea mwishoni

Yanga ilihitaji kushinda mchezo huo lakini hata alama moja imekuwa na faida kubwa kwani Wananchi wanaendelea kusimama kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 13 baada ya kufikisha alama 55

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’