Wiki hii Yanga inakabiliwa na ratiba ngumu kwani baada ya mchezo dhidi ya Ihefu leo, Jumamosi, Februari 03 itakuwa mkoani Iringa kuivaa Lipuli FC.
Katika duru ya kwanza, Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 na timu hiyo zilipokutana kwenye dimba la Uhuru hivyo kuufanya mchezo huo kuwa mgumu zaidi.
Hata hivyo Yanga iliyoanza msimu taratibu si sawa na Yanga ya sasa.
Kuelekea mchezo huo, Afisa habari wa Lipuli FC, Clement Sanga amesema wamejipanga kushinda nyumbani dhidi ya Yanga hasa baada ya kupata suluhu ugenini dhidi ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera.
"Tunafahamu Yanga ni timu kubwa, lakini wote mnafahamu katika mechi ya raundi ya kwanza tulitokanao sare kwenye Uwanja wa Taifa sasa wanakuja Iringa tutawafunga."
Sanga alisema timu yake inahitaji ushindi ili kuondoka katika kundi ya timu zinazoweza kushuka daraja msimu huu.
Lakini Yanga pia inahitaji ushindi ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE