Saido atakuwa tayari kuikabili Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2022
Saido atakuwa tayari kuikabili Simba

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji wanaoingia kambini leo kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya SImba ambao utapigwa Jumamosi, April 30 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Saido alikosa mchezo uliopita dhidi ya Namungo Fc kutokana na majeruhi lakini kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema Saido atakuwa tayari siku ya Jumamosi

Nabi amesema anakwenda kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba akiwa na kikosi chake kamili

"Tunaingia katika maandalizi ya mechi ya Simba tukiwa na kundi kamili la wachezaji, tulimpumzisha Job (Dickson) kutokana na alikuwa na kadi mbili za njano kama angepata kadi ingetupa shida"

Nimefurahi vile Feisal (Salum) na Aucho (Khalid) jinsi walivyorejea na kucheza kwa utimamu mzuri mchezo uliopita dhidi ya Namungo"

"Mtu aliyebaki ni Saido ambaye naamini tunapoingia kambini leo atakuwa tayari kwa mchezo huo, huyu ni mchezaji mkubwa ambaye ni muhimu kuwa naye katika mechi kubwa kama hii inayokuja," alisema Nabi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’