Majembe yote yamerejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Apr 2022
Majembe yote yamerejea kikosini

Yanga inaweza kuwa na wakati mzuri katika michezo iliyobaki kukamilisha msimu baada ya nyota waliokuwa majeruhi kurejea kikosini

Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Yanga ambao katika kipindi cha miezi miwili iliyopita, kikosi chao kilikabiliwa na wimbi kubwa la majeruhi

Mpaka sasa hakuna mchezaji ambaye yuko nje baada ya nyota wote kurejea kikosini

Mshambuliaji Yacouba Songne ambaye alikuwa nje kwa muda mrefu jana alijumuika na wenzake kwa mara ya kwanza katika mazoezi ya timu

Feisal Salum, Khalid Aucho na Chico Ushindi nao wameanza mazoezi baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa

Wakati Chrispine Ngushi, Kibwana Shomari, Abdallah Shaibu na Jesus Moloko walianza kurejeshwa kikosini taratibu, sasa wako timamu kwa asilimia 100

Kocha Nsareddine Nabi atakuwa na kikosi chake kamili katika michezo ya ligi inayofuata dhidi ya Namungo Fc na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’