Hersi, Kaze wana jambo Rwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2022
Hersi, Kaze wana jambo Rwanda

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga, yuko nchini Rwanda

Hersi ameongozana na Kocha Msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze ambapo jana wameshuhudia mchezo wa ligi kuu ya Rwanda kati ya Kiyovu Sport dhidi ya Gasogi

Karibuni ziliibuliwa tetesi kuwa Yanga inataka kuwasajili wachezaji wawili wa Kiyovu Sports, kiungo mshambuliaji Abedi Bigirimana na kiungo mkabaji Ismail Pitchou wote raia wa Burundi

Bigirimana amefunga mabao tisa msimu huu katika ligi kuu ya Rwanda akiwa na Kiyovu Sport

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’