Yanga kupimana ubavu na Mafunzo Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2022
Yanga kupimana ubavu na Mafunzo Fc leo

Kikosi cha Yanga leo majira ya saa moja usiku, kitashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Mafunzo Fc katika mchezo wa kirafiki

Wakiwa katika maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa April 06, benchi la ufundi litakuwa na nafasi ya kutumia mchezo wa leo kupima utayari wa kikosi kuelekea mchezo huo

Aidha ni mchezo ambao baadhi ya wachezaji wanaorejea kutoka kwenye majeruhi wanaweza kupewa nafasi

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wanauchukulia mchezo huo kwa uzito mkubwa kwani wanaamini ni kipimo sahihi kabla ya kuwakabili Azam Fc

Mafunzo Fc wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’