FT : Tanzania 1-1 Sudan

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2022
FT : Tanzania 1-1 Sudan

Mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Sudan uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Bao la Simon Msuva katika kipindi cha pili liliinusu Tanzania kupoteza mchezo huo nyumbani baada ya Sudan kutangulia kufunga bao la kuongoza

Tanzania imekusanya alama nne kutoka michezo miwili, wakishinda mabao 3-1 katika mchezo dhidi ya Afrika ya Kati

Zlikuwa mechi maalum kwa kocha Kim Poulsen kuwaangalia vijana wake kabla ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2023 zitakazoanza mwezi Juni 2022

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’