Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina leo amerejea kwenye benchi la Yanga na kuiongoza timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC.
Kuchelewa kupata kibali cha kufanya kazi kulimfanya ashindwe kukaa kwenye benchi la Yanga katika michezo mitatu iliyopita.
Uwepo wake leo kwenye benchi ulionekana dhahiri kuongeza morali ya wachezaji.
Halikuwa jambo jepesi kwa Yanga kutoka nyuma na kupata ushindi dhidi ya Azam FC iliyokuwa imekamia mchezo huo.
Aidha ilifikiriwa kuwa Azam FC ingeweza kupata ushindi mwepesi leo kutokana na mwenendo wa kikosi cha Yanga kwenye michezo ambayo Lwandamina alikosekana.
Hata hivyo uwepo wake umedhihirisha kuwa sio kazi rahisi kuifunga Yanga hasa yeye akiwepo benchi.

ADVERTISE HERE