Ni Jumatano hii, uwanja wa Azam Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2022
Ni Jumatano hii, uwanja wa Azam Complex

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi keshokutwa Jumatano kuishangilia timu yao katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mafunzo Fc ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex

Bumbuli amesema wanatumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc mbao utapigwa April 06 katika uwanja huo

"Jumatano tunacheza na Mafunzo Fc inayoshika nafasi ya pili ligi kuu ya Zanzibar, ni timu nzuri, hakuna shaka watatupa ushindani mzuri. Mashabiki waje kwa wingi siku hiyo kwani pamoja na kuja kushuhudia burudani ya timu yao lakini tutatumia mchezo huo kujipanga kuelekea mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa hapohapo Azam Complex"

"Shamrashamra tunazianza Jumatano hii kwa kujaza uwanja halafu siku ya mchezo dhidi ya Azam FC tutawaachia nafasi za mashabki 300," alitamba Bumbuli

Yanga ilirejea kambini Avic Town tangu Jumatano iliyopita wakijiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’