Profesa Nabi na rekodi ya kibabe msimu huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2022
Profesa Nabi na rekodi ya kibabe msimu huu

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ndiye mchawi wa mafanikio ya Wananchi msimu huu

Hakuna maneno mengi ya kuzungumza kwani takwimu zinajijotesheleza kuzungumza yote

Katika michezo 18 kwenye ligi msimu huu, Yanga imeshinda mechi 15 na kutoka sare mechi tatu

Wananchi wamefunga mabao 31 huku wakiruhusu mabao manne tu kutikisa nyavu zao

Jumla ya pasi 6856 zimepigwa katika michezo hiyo

Juu kileleni mwa msimamo wa ligi, alama 48 kibindoni. Ni alama 11 zaidi ya timu inayoshika nafasi ya pili, Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’