Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wako kambini Avic Town, wakikamilisha maandalizi ya mchezo huo ambao wanahitaji alama zote tatu







ADVERTISE HERE