Ng'ombe wa Mayele katua Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2022
Ng'ombe wa Mayele katua Dar

Kule katika mashamba ya miwa Turiani mkoani Morogoro, mshambuliaji Fiston Mayele alipewa zawadi ya ng'ombe baada ya kupachika bao kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao Yanga ilipata ushindi wa mabao 2-0

Zawadi kutoka kwa mfugaji mwenye asili ya umasaini, Mauya Kanduru ambaye amevutiwa na kazi nzuri ya kufunga mabao inayofanywa na Mayele msimu huu

Leo ng'ombe huyo amewasili jijini Dar es salaam, Mayele akikabidhiwa rasmi pale Jangwani

Bado kuna ng'ombe mwingine kutoka mkoani Shinyanga Mayela anasubiri kukabidhiwa ikiwa ni zawadi kutoka kwa Wanachama wa Yanga, Kahama

Ni baada ya kuwatungua Geita Gold katika ushindi wa bao 1-0 ambao Yanga waliupata mkoani Mwanza March 06

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’