FT : Yanga 1-1 Somalia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2022
FT : Yanga 1-1 Somalia

Mchezo wa hisani kuchangisha fedha taasisi ya Ali Kimara kati ya Yanga dhidi ya timu ya Taifa ya Somalia umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Somalia wamewapa Yanga mchezo mzuri wakitangulia kufunga bao lao dakika za mapema tu

Chico Ushindi ndiye aliyesawazisha bao la Yanga akiunganisha kwa kichwa krosi ya Djuma Shabani

Yanga ilitawala zaidi mchezo hasa kwenye kipindi cha pili Denis Nkane akikosa nafasi adimu ambayo ingeweza kuipa Yanga ushindi

Katika mchezo huo wachezaji Ushindi, Djuma na Kibwana Shomari walirejea baada ya kupona majeraha

Hata hivyo Ushindi alilazimika kutoka katika kipindi cha pili baada ya kuumia nafasi yake ikichukuliwa na Ambundo

Somalia wameimarika tofauti na wengi walivyotarajia, idadi kubwa ya wachezaji wa timu wanasakata kabumbu nje ya bara la Afrika

Ni wachezaji watatu tu katika timu hiyo wametoka nchini Somalia

Waajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon hatua za awali wakitarajiwa kucheza na Swaziland

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’